Tengeneza pesa jinsi unavyopenda
uza by inalipaTM inakuruhusu wewe kuwa boss wako mwenyewe na kutengeneza hela kwa kufanya mashindano katika mauzo. Hakuna ratiba, hakuna muda wa kuingia kazini. Fanya kazi kwa muda wako upate tuzo na motisha. Ni rahisi kama Uza. Pata malipo. Shinda. Furahia.

KUWA BOSS WAKO MWENYEWE
uza, inalipa!
Uza Msasani, Kibamba, Magomeni, Goba, Tegeta, Taabata, Mbezi, Kijitonyama na zaidi!Mashindano yametengenezwa kwa ajili yako ili ufanye mauzo kwa spidi yako mwenyewe.

Kuwa mwanaUza!
Upo tayari kuanza mauzo?